Dini ya kislam
Jumamosi, 20 Januari 2018
Okwi!!
Lleo januari 18, 2018 igi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18 imeendelea kwa michezo miwili, Azam FC wakiwa Songea kucheza dhidi ya Majimaji wakati Simba walikua uwanja wa Taifa kucheza dhidi ya Singida United.
Simba imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0 na kuvuna pointi zote tatu ambazo zimewafanya wafikishe pointi 29 wakiwa mbele kwa pointi mbili dhidi ya Azam ambao wamelazimishwa sare ugenini dhidi ya Majimaji.
Magoli ya Simba yamefungwa na Shiza Kichuya dakika ya 3, Asante Kwasi dakika ya 24 na Emmanuel Okwi aliyefunga magoli mawili dakika ya 75 na 82.
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)
Okwi!!
Lleo januari 18, 2018 igi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18 imeendelea kwa michezo miwili, Azam FC wakiwa Songea kucheza dhidi ya Majimaji ...